Swahili Coronavirus, njama na mipango ya siri
Ulimwengu umetikiswa na janga la ugonjwa huu wa Corona ulioibuka nchini China. Kulingana na watafiti wanaojiita wanasiantifiki wanasema kwamba ugonjwa huo umetokana na Popo. Lakini unapochunguza kiundani zaidi utakuja kugundua kwamba kuna siri kubwa nyuma ya pazia. Na hiyo siri ndiyo tunayoongelea katika kipindi hiki.