Swahili Majina ya miji, manabii katika lugha ya asili

Mpendwa, wewe unayekubali kweli hii, ndani ya video hii tumekuandalia majina ya miji na majina ya baadhi ya manabii namna walivyoitwa katika lugha ya asili. Pamoja na hayo, tumeweka pia majina ya watu na vitu vingine visivyohusiana na majina ya manabii wala miji. Hayo yote ni katika lengo la kukuhimiza kuifuatilia kweli hii ambayo iwezayo kukubadirisha na kukuosha kabisa.
Mafundisho haya, yametolewa na mzaliwa wa pili kwa jina la Zouloula 100. Unaweza kuagiza Bibèl kupitia anwani hii hapa chini: tunaomba radhi maana imeandikwa katika lugha ya Kifaransa.
https://www.leseditionszouloula100.com/