Swahili Pepo ya bia barani Afrika (baa, kilabu cha usiku) 1
Ni nani wapigao yowe?
Ni nani wenye huzuni?
Ni nani wenye ugomvi?
Ni nani walalamikao?
Ni nani wenye majeraha bila sababu?
Ni nani wenye macho mekundu?
Ni wale ambao hawabanduki penye divai,
wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa.
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake,
hata kama inametameta katika bilauri,
na kushuka taratibu unapoinywa.
Mwishowe huuma kama nyoka;
huchoma kama nyoka mwenye sumu.
Macho yako yataona mauzauza,
moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.
Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari,
kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Utasema, “Walinichapa, lakini sikuumia;
walinipiga, lakini sina habari.
Nitaamka lini?
Ngoja nitafute kinywaji kingine!
Methali 23:29-35
Ni nani wapigao yowe?
Ni nani wenye huzuni?
Ni nani wenye ugomvi?
Ni nani walalamikao?
Ni nani wenye majeraha bila sababu?
Ni nani wenye macho mekundu?
Ni wale ambao hawabanduki penye divai,
wale wakaao chonjo kuonja divai iliyokolezwa.
Usiitamani divai hata kwa wekundu wake,
hata kama inametameta katika bilauri,
na kushuka taratibu unapoinywa.
Mwishowe huuma kama nyoka;
huchoma kama nyoka mwenye sumu.
Macho yako yataona mauzauza,
moyo wako utatoa mambo yaliyopotoka.
Utakuwa kama mtu alalaye katikati ya bahari,
kama mtu alalaye juu ya mlingoti wa meli. Utasema, “Walinichapa, lakini sikuumia;
walinipiga, lakini sina habari.
Nitaamka lini?
Ngoja nitafute kinywaji kingine!
Methali 23:29-35